Wednesday 9 October 2013

USHAURI WANGU KWKO MWANAMKE ULIYE KWENYE MAPENZI




Napenda kuwashauri wanawake Ambao wapo katika Mahusiano ya kimapenzi aajaribu kuwa wabunifu katika mapenzi, mpe mpenzi wako mapenzi yote toka moyoni mwako. 

Usidanganywe kuwa mapenzi ni mitishamba hakuna dawa ya mapenzi kwa mganga ila dawa unayo wewe mwenyewe mridhishe mpenzi wako na kumpa vitu vipya katika mapenzi halafu uone je, penzi lako kwa mwenza wako utachangia na wenzako?!

No comments:

Post a Comment