Sunday 6 October 2013

NANI MWENYE NDOA

Haisimami wala haikai, watiifu wanaachwa lakini watukutu wapo ndoani.

Ndoa ukitaka kuiharibu unaweza na ukitaka kuijenga utaijenga.

Mchina kavamia Tanzania, kaleta nywele na matako lakini kashindwa nyonga......

Adui wa mwanamke ni kioo, mapambo na vipodozi vya kujichubua tatizo.

Wengi hawatambui maana ya kike au ujana kike wao. 

No comments:

Post a Comment