Thursday 10 October 2013

MDAU ASIA PRINT ANASEMA.......KUHUSU KUMTEGA MWENZA WAKO KUMFUMANIA

MAUMIVU huzidi pindi unapo mfuma mwenza baada ya kumfuma kwa mtego uliouandaa. 

Kwa namna moja au nyingine sio usiwe unapenda kufanya jambo ambalo litakuletea maumivu katika moyo wako bali unapaswa kuushinda msukumo maana msukumounaweza kukuletea maumivu zaidi.

No comments:

Post a Comment