Friday 24 January 2014

STAILI ZA KUTOMBANA...ONA HAPA CHACHE. WADAU WAMEOMBA IWEKWE FRONT PAGE LEO

THIS IS IT WHAT CAN YOU CALL IT



kumridhisha mpenzi sio kazi ni ujuzi wako tu uliotulia mweke juu mwache atumie vizuri mda kwa kucheza na mboo

AKINADADA KISIMI KINASIRI KUBWA MPE BWANA NAFASI AKINYONYE MARA KWA MARA

KILA STYLE INA UJUZI WAKE BWANA KUMA MNATO AKINADADA JUENI KUTUMIA STYLE KUMDATISHA MZEE NYUMBANI

KUNA STYLE MBALI MBALI ZA KUTOMBANA AMBAZO ZITAMFANYA DEMU WAKO ADATE NAYE MWANAMKE ASIKIE RAHA

SIKIO HALISI; JE UNATAKA KUBADILIKA KIFIKRA? UNGANA NAMI KATIKA

SIKIO HALISI Na, Gordon Kalulunga.
1.
JE UMEUMIZWA KIFIKRA NA MAISHA AU MWENZA WAKO NA UNATAKA KUBADILIKA NA UWE MTU MWENYE MAFANIKIO? UNGANA NAMI.
 
 
KAMA hatubadiliki, hatukui na kama hatukui basi tumekufa. 



Huo ndiyo ukweli katika maisha. Haya ni mafundisho ambayo yatakutoa hapo ulipo na kwenda sehemu tofauti na wengine.

Kama unataka kuendelea kuwa yule yule anayekosea, asiyejua kuomba radhi, asiyeweza kujiuliza maswali kuwa nini anatakiwa kufanya, hawezi kubadilika.

Tulio wengi hatutaki kukabiliana na mabadiliko, lakini kila siku tunafanya juhudi za kutaka kuwabadili wengine, wakati tunaendelea kufanya mambo yale yale.

Kuna kitabu niliwahi kukiona kimeandikwa hivi ‘’ kwanini mimi niwe wa kwanza kubadilika?’’ swali hili wengi wetu tunajiuliza bila kupata majibu.

Lakini nikuambie kuwa, ukiwa wa kwanza wewe kubadilika, utakuwa na furaha zaidi kama utaendelea kukua na kujifunza zaidi. 

Ukibadilika utaanza kuwajibika kwako wewe mwenyewe, yaani utawajibika kwa maisha yako kiutashi na nidhamu. 



Hivyo ukibadilika, watu wengine watabadilika na kukufuata, hii ni siri ninayokupa.

Lakini ni vema ukafahamu kuwa mabadiliko ni kitu kigumu sana ukizingatia ukweli kwamba, sisi binadamu ni viumbe wa tabia.

Na sehemu kubwa ya tabia zetu, tumefundishwa tangu utotoni, pamoja na tabia hizi, tunapaswa kubadilika ili kujua hasa maana ya maisha yetu.

Mabadiliko ni magumu kwasababu ya mazoea, hivyo njia moja kuu ya mabadiliko ni kutenda. Soma vitu ambavyo vinakubadilisha nk.

Kama huwezi kutenda hautaweza kuwa na mabadiliko, maana kutenda ndiko kunaleta mabadiliko wala si kukariri mambo.

Ni vizuri kujua mambo, kuwa na maarifa lakini ni hekima kuyatumia maarifa hayo.

Kumbuka kuwa huwezi kubadilika kwenye maeneo yote kwa wakati mmoja, mfano ulevi, uzinzi, dharau nk. Anza na jambo moja.

Kikubwa ndugu yangu nikuambie kuwa, bila nidhamu na utashi ni vigumu sana kubadilika, maana mabadiliko ya aina yeyote, yanataka nidhamu ya hali ya juu sana.

Mabadiliko maana yake ni kutoka kwenye mazoea lakini bahati mbaya tulio wengi hatutaki kutoka kenye mazoea na kuthubutu.

Lakini mimi nakuambia kuwa inawezekana, Nchi kama china na nyinginezo, jamii zao ziliumia mfumo ulipobadilika, sasa jiulize kuwa je kama jamii inaweza kuumia wakati wa mabadiliko sembuse wewe mmoja katika mabadiliko ya maisha yako? Anza sasa. 

Je unataka kuanza kubadilika kwenye hasira, fitina au ipi? Kusikia ni chanzo cha maarifa, bila shaka umenisikia kupitia sikio hili halisi.

Tunakuwa na masomo haya ya sikio halisi kwa wale wanaohitaji kwenye kumbi mbalimbali nchini, kwa sasa tupo mkoani Mbeya.

Wiki hii tutakuwa ukumbi wa Tughimbe Hotel Mbalizi Mbeya, kwa kiingilio cha Shilingi 5,000/=

Ni kuanzia saa Nane kamili mchana mpaka saa kumi jioni, nyote mnakaribishwa.



Tukutane wakati mwingine katika mafundisho haya.

Teta nami kwa SIMU; 0754 440749/0787552955

Email; kalulunga2006@gmail.com
WEB; www.kalulunga.com
Wenu katika sikio halisi

Gordon Kalulunga.
 
 

LEO TENA KATIKA MFULULIZO WA.....

SIKIO HALISI

2.
KUNA hadithi niliyowahi kusimuliwa, ambayo wakati ule sikuielewa maana yake kutokana na umri wangu wa wakati huo.
Lakini leo hii ninao uwezo wa kuieleza na kuitumia katika sikio lako halisi ambalo linaweza kukupelekea mabadiliko, je unataka kuisikiliza na upo tayari kubadilika? basi ungana nami tena leo.

Hapo zamani kulikuwa na mfalme mwenye akili sana ambaye siku moja aliamua kupima ufahamu wa watu wake kuhusiana na maisha.

Aliwatuma wasaidizi wake kwenda kuweka jiwe kubwa katikati ya barabara, wasaidizi wake walifanya hivyo huku yeye akijificha kwenye kichaka ambacho kilikuwa karibu na barabara hiyo.

Alifanya vile ili aweze kuona ni nani ambaye angeweza kuliondoa jiwe lile.

Watu mbalimbali walipita mahala pale na kulikwepa jiwe na kupita pembeni ya barabara. 

Wengine walipofika pale walilaumu sana na kusema huyu mfalme pamoja na utawala wake ameshindwa kuondoa jiwe lile katikati ya barabara, na kusema kuwa, kuna wafalme wengine hawafai, maana wapo kwenye madaraka lakini hawawezi kuwasaidia.

Ni kama maumbile kwa watu kulaumu mamlaka endapo jambo halijafanyika bila kujali mazingira. 

Walipita wasomi, matajiri na wananchi wa kila namna huku wakikwepa lile jiwe.

Hatimaye kuna mkulima mmoja, mahali pale akiwa na mzigo wa mboga kichwani na kuanza kulitizama lile jiwe kwa muda.

Kisha alitua mzigo wake na kuliendela na kuanza juhudi za kulisukuma kulitoa mahala pale, alijitahidi sana kwasababu jiwe lilikuwa kubwa na yeye alikuwa peke yake.

Alitumia muda mrefu sana kulisukuma lile jiwe, na hatimaye lile jiwe likasogea pembeni mwa barabara. 

Wakati akirudi kwenda kuichukua mboga yake, aliona pochi mahala pale lilipokuwepo jiwe! 

Akaiendela na kukuta pochi ile imejaa vipande vya dhahabu vikubwa na vingi.

Mkulima yule akarejea nyumani akiwa tajiri mkubwa. 
Hadithi hii ina mafunzo kwamba ni vizuri mtu au watu tukawa na moyo wa kujitolea kwa ajili yetu na kwa ajili ya wengine.

Yule mtu hakutarajia kama angeweza kupata pochi endapo angesukuma lile jiwe, lakini kwasababu alikuwa na moyo wa kujitolea ndiyo maana akapata mafanikio. Hivyo kwa wakati mwingine kujitolea kunalipa.

Kama kila kitu unataka kupata pesa, inaweza kula kwako maana kwenye maisha hatupaswi kukwepa vizuizi.
Tunapokutana na vizuizi kwenye nia zetu za kuelekea kupata mafanikio, hatupaswi kuvikwepa maana hivyo siyo vizuizi bali ni taarifa ya kwamba mbele kuna mafanikio na dhahabu.
Kwa kuhofia vizuizi na shida zinazotukabili katika maisha yetu, tunajikuta tunashindwa kupata dhahabu na mali au vitu vya thamani.

Kwa bahati mbaya kila mmoja wetu, bila kujali nafasi yake katika jamii, anaogopa kizuizi na kila mmoja anatamani mwenzake apambane na kizuizi na siyo yeye.

Sikiliza nikueleze, ni wazi kuwa kila palipo na kizuizi, ndipo palipo na njia nzuri ya kupita na kupata mafanikio.


Tukiwa na moyo wa kupenda kujitolea na moyo wa kutokwepa vikwazo vya kimasha ndipo tutakuwa na uwezo wa kupata mafanikio tunayoyataka.

Usijaribu kukwepa ukweli na kuanza kunywa pombe eti unataka kujisahaulisha na usidhani kuwa ni wajibu wa mtu mwingine kubadili hali uliyonayo kufikia mafanikio.

Bali ni wajibu na jukumu lako kuhakikisha kwamba, njia ikifungwa, unajitahidi kuifungua.

Hata ukilaumu kwa miaka mingi kiasi gani, bado vikwazo vitaendelea kuwepo endapo hautataka kuvikabili.
Tujifunze kwa yule mkulima wa mboga, ambaye hakuamua kuanza kumlaumu mtu, bali aliamua kutua mboga zake na kwenda kulisukuma jiwe hatimaye akapata mafanikio.

Kuna wenye njaa na matajiri na wengine waliopita pale, hawakuona kuwa ni jukumu lao kuondoa lile jiwe bali ni jukumu la serikali, au watu wajinga! Badala yake kumbe walikuwa wakikwepa mafanikio.

Kuna watu wamefeli shule na wengine kwenye mahusiano mambo yameenda ndivyo sivyo, wanadhani wameachwa na Mungu. Lakini katika kikwazo hicho kuna kitu kimejificha cha mafanikio.

Mafundisho haya pia tunayatoa kwa njia ya mikutano katika kumbi mbalimbali nchini Tanzania kwa kualikwa ama kuandaa wenyewe mikutano hiyo kwa kiingilio kidogo kabisa.

Tukutane wakati mwingine katika mafundisho haya. 
Kama una jambo lolote ama unataka kutualika popote, 
Teta nasi kwa SIMU; 0754 440749/0787552955
Email; kalulunga2006@gmail.com
WEB; www.kalulunga.com
Wenu katika sikio halisi
Gordon Kalulunga.
 
 
3.
SIKIO HALISI Na, Gordon Kalulunga.
Tumia matatizo yako kupata mafanikio au kujididimiza zaidi.
Mungu anataka kilakitu unachotaka uwe nacho hapa duniani, ukipate.
Hivi ndivyo nilivyowahi kuambiwa miaka ya nyuma kidogo.
Haikuwa rahisi kuamini kuwa maneno hayo yalikuwa na nguvu ya kuweza kubadili maisha yangu.
Siku moja nilijiuliza moyoni kuwa kwanini Mungu hakutaka niwe kama wenzangu ambao wana nyumba nzuri na magari mazuri nk.
Lakini sikupata jibu! Nikaiambia nafsi yangu kuwa je mimi nina laana? Je Mungu ana upendeleo? Mbona watu wanasema Mungu hana upendeleo?
Nilizidi kuwaza, huku baadhi wakinikejeli! Mawazo yakanizidi kichwani.
Kuna siku nikawa naelekea mjini, wakati navuka barabara nikiwa na lindi la mawazo huku nikijihisi mtupu, niliponea chupuchupu kufa kwa kugongwa na gari.
Dereva yule alinikwepa kisha akasimamisha gari na kuaza kunitukana sana matusi ya nguoni, na kunitolea maneno makali ya kashfa, hakika yalinichoma sana moyoni.
Nikaanza kuhisi kuwa nina mkosi zaidi, mtu ambaye sina bahati na hatimaye machozi yakanidondoka huku nikiendelea kutembea.
Ukiona mwanaume analia basi kuna jambo! Ghafla nikaona lile gari lililotaka kunigonga, likinifuata tena kwa kasi! Na yule dereva akaniambia anipe rifti.
Nikakubali kwa shingo upande na nikiwa ndani ya gari, dereva akaniuliza kama kuna jambo limenikuta, kwani alihisi nina mawazo sana.
Nikavuta pumzi na kumwambia. Ndipo naye akaniambia kuwa, kuna siku moja Ng’ombe wake alitumbukia ndani ya shimo refu na akajaribu kumtoa lakini akashindwa.
Baadhi ya majirani zake ambao hawakumpenda na kupenda mafanikio yake walifurahi sana na wakaanza kutupa matakataka na udongo ndani ya shimo ili kumdhuru yule Ng’ombe afe.
Alisema wakati akiwa kazini, wabaya wake hao, walipokuwa wakitupa takataka hizo na udongo, bila kujua, kumbe yule Ng’ombe alikuwa akijikung’uta zile takataka na udongo ukawa unashuka chini yeye anakanyaga na kupanda juu.
Kadri walivyozidi mumtupia takataka na udongo, akazidi kupanda! Kufumba na kufumbua, yule Ng’ombe akatokeza kichwa na kulia Mmoooooo!
Watu walitaaruki, kuwa iweje Ng’ombe yule katoka mzima! Ndipo yule dereva aliponiambia kuwa, kuna wakati inafikia kila aina ya uchafu utatupiwa, lakini ni maamuzi yako kuamua kijikung’uta na kutumia uchafu huo huo kama daraja la kukuvusha nje au ukubali kufunikwa na huo uchafu kisha ufe.
Maneno ya dereva huyu, yanatukumbusha kuwa kuna wakati wa kulia na wakati wa kucheka,  pia kuna wakati wa kupada na wakati wa kuvuna.
Sikiliza nikuambie, unaweza kuinuka tena, sikio lako halisi naamini limesikia.
 Tukutane wakati mwingine katika mafundisho haya.

Teta nami kwa SIMU; 0754 440749/0787552955

Email; kalulunga2006@gmail.com
WEB; www.kalulunga.com
Wenu katika sikio halisi

Gordon Kalulunga.

Sunday 19 January 2014

JE WAJUA KUYATUMIA VEMA MACHO YAKO?

Unaweza kuwa na hasira,,mawazo,,ama furaha na macho yako yakaonyesha ishara bila kificho lakini pia katika suala zima la mapenzi hisia huonekana machoni

Yapende macho yako wakati wote na pia tumia macho yako kufahamu hisia za mapenzi ya mwenza wako

SEHEMU GANI MWANAMKE AKIGUSWA HUSISIMUKA NA KUTAMANI KU............................ ZAIDI NA ZAIDI?

i

Wanawake wengi japo siyo wote, hupandwa na wazimu wa kimahababa wakichezewa Dodo zao na visimi.


DODO ZA MWANAMKE MARA NYINGI HUSISIMKA ILE MBAYA IKIWA ZITATOMASWA VIZURI NA KWA UPENDO KWA KUTUMIA MIKONO,LIPS ZA MDOMO NA ULIMI KUPEKECHA KUPEKECHA NCHA ZA CHUCHU NA KUZIMUNG'UNYA KWA MFANO WA MTU ANAYEMUNG'UNYA PIPI HIVI NA WAZIMU UKIANZA KUPANDA NCHA ZA CHUCHU ZINA TABIA YA KUDINDA NA KUWA NGUMU NA KUFANYA MATITI YAWE KAMA YAMESIMAMA KAMA YA MTOTO MWENYE BIKIRA YAKE,HALI HIYO YA MATITI KUSIMAMA NA KUCHOMOZA HUJITOKEZ KWENYE K.

AMBAPO MASHAVU YA K HUPANUKA NA KUTENGENEZA MSISIMKO WA AJABU HUKU KISIMI KIKISIMAMA NA KUMWAGA UTE FLANI LAINI AMBAO KAZI YAKE NI KUITELEZESHA MBOO WAKATI INATUMBUKIA.

JINSI JAMAA ANAVYOKUTOMASA MPAKA UNATOA HUO UTE NILIOUSEMA UKITOKWA NA HUO UTE MWANAMKE UNAKUA KATIKA HALI MBAYA SANA,UNAKUA KATIKATI YA KIFO NA UHAI KIASI KWAMBA UKITIWA KIDOLE TU THEN KIKATELEZESHWA NA HUO UTE UTASIKIA RAHA SANA MPAKA MATE YAKUJAE MDOMONI JAPO KUKOJOA INAKUA BADO.

SASA MTU WA AINA YAKO ILI UKOJOZWE,KWANZA LAZIMA UR MAN AJUE AJUE G SPOT YAKO ILIPO THEN ACHEZE NAYO HIYO KWA KUIMASSAGE KWA VIDOLE VYAKE VIWILI AT THE SAME TIME AWE ANACHEZA NA KISIMI CHAKO KWA KUKITEKENYA AWE KAMA ANAICHORA NAMBA 8 KWA ULIMI KUKIZUNGUKA KISIMI KWA KUICHORA NAMBA NANE MARA KADHAA ingawa kwa wenye kinyaa......hawawezi hasa mwanamke kama ana tabia za uchafu.



G SPOT IPO KAMA SENTIMITA 5 HIVI NDANI YA KUMA UKIINGIZA KIDOLE UTAIGUSA,IPO SEHEMU YA JUU YA K,HATA SIJUI KWANINI WANAUME WENGINE HAWAJUI ILIPO,OK ANYWAY.


 USIONE HAYA SEMA NAE JAMAA, MUELEKEZE G SPOT ILIPO MWAMBIE AITEKENYE HIVI,MWAMBIE AKUINGIZE TARATIBU NA KWA UPENDO,VIDOLE VYAkE VIWILI NDANI YA K,THEN AWE KAMA ANAIBONYEZA NA KUISUGUA SEHEMU YA NDANI YA K HIYO NILIYOSEMA IKO KAMA SENTIMITA 5 NDANI YA K,SEHEMU AMABAYO UKIIGUSA UTAFEEL KAMA SPONJI HIVI,JAMAA VILE VIDOLE HUKO NDANI ANAKUA ANAVITUMIA KUIBONYEZA KWA STYLE YA KUITEKENYA G SPOT ANAKUA ANAFANYA KAMA VILE MTU ANAEMFANYIA MTU MWINGINE ISHARA YA KUMWITA NJOO HAPA KWA MKONO.

 KITENDO KITAKACHOKUA KIKIMTEKENYA MWANAMKE MPAKA ANAJISIKIA KAMA MKOJO UNATAKA KUTOKA LAKINI HAUTOKI BASI MBWEMBWE TU ZA KUKUPA WEWE RAHA UIONE DUNIA YOTE HII NI YA KWAKO WEWE NA HUYO ANAEKUFANYA BAADA YA HAPO SASA INGEKUA JAMAA YAKO NI MGANDA,MTU WA BUKOBA AMA MNYARWANDA WANAO UTARATIBU WAO KATIKA MAINGILIANO YA KIMWILI BAINA YA WAWILI WANAOPENDANA,AMBAPO HUUCHUKUA UUME ULIOSIMAMA VIZURI NA KUANZA KUKIPIGA PIGA KISIMI NA KUKISUGUA KWA KICHWA CHA MBOO HALI HIYO AKIIFANYA VIZURI ITAKUFANYA SIO TU KUKOJOA KAWAIDA BALI UMWAGE MAJI MENGI SANA(SQUIRTING)AU KAMA HII YA KUKIPIGA PIGA KISIMI NA KUKISUGUA KWA KICHWA CHA MBOO ITAKUA NGUMU BASI JAMAA UNAWEZA KUMWAMBIA AWE ANAKICHOVYA KICHWA CHA MBOO KWENYE KUTA ZA K HUKU AKIKITUMBIKIZA MPAKA USAWA WA KICHWA TU NA KUKICHOMOA HAPO AKIFANYA MARA MBILI TATU TU KAMCHEZO AKO ATAKOJOA KWA FUJO SANA NA KUKAMUA MPAKA TONE LA MWISHO.

MUHIMU TU UZINGATIE UNYWAJI WA MAJI UKIKUTANA NA WA HIVI MPAKA UNAWEZA KUPATA UPUNGUFU WA MAJI MWILINI THE WAY UTAKAVYOKUWA UNAMWAGA MAJI MENGI KILA MNAPOKUTANA.

Wednesday 8 January 2014

UDINI ...WAISLAM KUUANA NA WAKRISTO NIGERIA........INAUMIZA SANA

 
Worth Reading. What you see and learn here, you will never see in the official medias
 
Statement by Father Juan Carlos Martos cmf  Secretariat of PV Clarettiani Missionaries
  "This is a brutal example of how far the struggle between muslims and catholics in Nigeria has reached. 
 
Muslims are determined to impose their 'religion' all over Africa as well as in other continents and countries of the world.
 
Islam has but one goal: rule the world at any cost!"   "And where are the International Human Rights Organizations?
 
 "By publishing this graphic document on Facebook, I have intended to make the world aware of certain terrible events totally ignored or minimized by the mainstream media; an authentic genocide so cruel and inhuman only comparable with the most hateful and vile acts in the nazi extermination camps."  
 
 "To my great surprise, Facebook has criticized me for the publication of this graphic document as a proof of the Holocaust that Christians have been suffering in Nigeria in the last ten years. 
 
According to Facebook's Security policy of the 'social' Network, this photo has been classified as 'pornographic', 'violent' or 'inappropriate' and hence I was disallowed to publish any picture for a week.
 
 "I thought that this social network, originated in the United States , would not bend its knees in front of terror. Especially, when still healing their wounds suffered in the gruesome 9/11 attack, just as our own 3/11 at Madrid railway station, all innocent victims of the wild fury and insanity of islamic terror."  
 
 "This seems even more unacceptable in Spain, a Democratic state, where the rights of opinion, expression and religion are guaranteed by the Constitution (Art. 16 and 20), if there is an attempt to limit such rights, let alone through threats and coercion thus weakening their freedom of expression by condemning as "inappropriate" a graphic document (not a photomontage) which reflects a brutal reality in all its crudeness."  
 
"Regrettably, if the murders continue, this is greatly because truth is always hidden to the sovereign people, so that they may not be aware and 'disdained' by it: complicit silence by the mainstream media leads to the indifference of the international political community facing this unspeakable Holocaust.
 
"Can you imagine the reaction of the islamic terrorist organization in the (impossible) case of a massacre of muslims in a mosque, by the hands of christian terrorists? And how widely would our media cover and condemn the crime and the criminals?
 
"Therefore, from this modest blog, I ask a favor from all people who are reading me: please distribute this photo and its comments using all the media you have. If only for commemorating these martyrs since, unfortunately, Facebook seems to be on the side of the executioners by preventing the publication of such tragic events."  
 
Juan Carlos Martos cmf Segretariato di PVMissionari Clarettiani Via Sacro Cuore à Maria-500197-Rome
 
Source;mabadilikotanzania

DALILI ZA MWANAMKE MJAMZITO



GORDON KALULUNGA


Dalili 13 za mwanamke mjamzito

by Gordon Kalulunga 
 
 

TANGU niwe mmoja wa waandishi wa habari 5 waliobahatika kufauru usaili kati ya waandishi 72 Tanzania na kujifunza na kubobea kuandika habari za afya ya uzazi nchini Tanzania tangu mwaka 2012 nimejionea, nimesikia, nimegusa, nimenusa wakati mwingine kuyaishi maisha na wanawake wajawazito na hata ambao bado hawajawa wajawazito… 


Nieleze wazi kuwa mafunzo hayo niliyapata kupitia program ya Fellowship inayoratibiwa na mfuko wa vyombo vya habari Tanzania maarufu kama Tanzania Media Fund (TMF) na kufundishwa na madaktari bingwa wa masuala ya afya ya uzazi. 


Moja ya mambo ambayo nilijifunza kutoka kwa wataalamu hasa madaktari nikiwa field, kusoma mitandao na baadhi ya wanawake waliosema wazi wazi kuhusu dalili za ujauzito na kati ya nyingi nilizoelezwa kati yake 13 nimeona nikushirikishe katika makala hii ya uchambuzi.


Mwanamke anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanza kuuchunguza mwili wake. 


Inaonesha kuwa homoni zinazosambaa mwilini mara tu unapopata ujauzito husababisha mabadiliko kadhaa katika mwili wake ambayo yanaweza kugundulika kabla hata ya uchunguzi halisi wa kujua kama mjauzito au la. 


1. Maumivu kwenye matiti.
Hii ni dalili ya kawaida ya ujauzito ambapo nguvu za homoni mwilini huongezeka wakati yai linavyopata “rutuba”, jambo ambalo huongeza wingi wa damu na kuyafanya matiti ya mwanamke kuvimba na kuwa makubwa isivyo kawaida. 


2. Maumivu mwilini
Baadhi ya wznawake wanajisikia maumivu kama vile wanataka kuingia katika siku zao. Kwa kawaida hali hii hutokea wakati yai likiwa linasafiri kwenda katika chumba cha mimba. Hivyo, hali hiyo husababisha sehemu hiyo itanuke taratibu na kusababisha maumivu hayo. 


3. Kutokwa damu bila kutegemea
Wanawake wengi hufikiria kutokwa na damu kidogo ni dalili ya kuwa katika siku zao. Lakini, katika hali halisi, kutokwa damu kusikotegemewa, huwakumba asilimia 25 ya wanawake wakati wa kurutubika kwa yai na iwapo utaona hedhi inakuwa fupi au inafanyika katika hali ambayo si ya kawaida, mwanamke anashauriwa kwenda kufanya kipimo cha ujauzito au kujipima mwenyewe na kifaa cha kupimia ujauzito.. 


4. Kuchoka
Mwanamke anapojisikia kuchoka na kukosa raha, au kutaka hata kulala wakati akiwa kazini, wakati huo mwili wake unakuwa unajirekebisha kuingia katika kipindi kipya cha mabadiliko. 

Inaelezwa kuwa katika kipindi cha mwanzo cha ujauzito ni muda ambao mtoto tumboni huanza kutumia sehemu ya nguvu za mwanamke na hivyo kumletea uchovu na usingizi. 


5. Chuchu kuwa nyeusi
Chuchu huanza kubadilika rangi yake kutokana na chembechembe za uhai (seli) kuanza kufanya kazi kwa nguvu zaidi hata hivyo wanawake wenye ngozi nyeusi hawawezi kuiona dalili hii mapema hadi muda wa kama wiki kumi zipite. 


6. Kichefuchefu
Hali hii huwapata asilimia 85 ya wanawake wanapopatwa na ujauzito, ambapo nyakati za asubuhi ndipo hasa hujionyesha. 


7. Mwili kuvimba
Kuna wakati kupungua kwa nguvu za uyeyushaji chakula kunaweza kumsababishia mwanamke kuona tumbo limevimba na nguo zikawa zinambana kutokana na chakula kujaa katika utumbo. Lakini hali hiyo ikiendelea na ukaona siku zako haziji, basi ni vyema ukatambua kwamba tayari una ujauzito na kinachokupasa ni kwenda kuhakikisha. 


8. Kwenda haja ndogo mara kwa mara
Mwanamke kwenda haja ndogo kila mara ni dalili kwamba kibofu kimeanza kufanya kazi ya ziada, ambapo huwa kinafanya kazi ya kuondoa maji kwa uthabiti zaidi wakati wa ujauzito. 

Hali hii pia hujitokeza mwishoni mwa ujauzito, ambapo kibofu kitakapokuwa kinarudia hali yake ya kawaida baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu. 


9. Tamaa ya vitu mbalimbali
Kutokana na mwili kuwa na “mzigo” wa ujauzito na hivyo kuchoka, hali hiyo humfanya mwanamke kutamani vitu mbalimbali ili kukidhi mabadiliko yaliyojitokeza katika mwili wake. Hii ni pamoja na kutaka vyakula fulani au kufanya mambo ambayo hapo nyuma alikuwa hayapendi. 


10. Kuumwa kichwa
Kuongezeka kwa damu kunaweza kusababisha kichwa kuuma japokuwa si sana, hususani katika wiki za mwanzo za ujauzito. Hata hivyo, hali hii hukoma mwili unapojirekebisha na mzunguko wa homoni unaotokana na ujauzito. 


11. Kufunga choo.
Homoni ambazo husababisha mwili kuvimba pia husababisha kufunga choo kutokana na mfumo wa kuyeyusha chakula kutofanya kazi vyema. Hata hivyo hali hii inaweza kujitokeza zaidi wakati ujauzito unapoendelea kukua. 


12. Kuwa na hasira
‘’Kutokana na kuongezeka kwa homoni za utendaji kazi mwilini, hali hiyo itakusababishia uchovu, na kukufanya kuwa na hasira,”anasema Melissa Goist, Profesa na Mtalaama wa Masuala ya Uzazi wa Chuo Kikuu cha Ohio, Marekani. 


13. Kuongezeka kwa joto mwilini Kipimo cha joto la mdomo ni muhimu katika kutambua hali ya ujauzito. Kwa kawaida joto huongezeka kwa nyuzi moja au zaidi wakati yai likiwa linatunga mimba. Hali hiyo ikiendelea kwa zaidi ya wiki mbili, itakuwa inaonyesha dhahiri kwamba kuna “mtoto anakuja”.
0754 440749

Thursday 2 January 2014

UNGEJUA MUMEO/MKEO/MPENZI WAKO ATAKUWA NA TABIA ALIZONAZO JE UNGEMKUBALI?


  1. Kama ungejua mumeo au mkeo atakuwa na tabia aliyonayo sasa ugekubali kuoana naye?
2. Je umeoa/kuolewa na mtu uliyemtaka; ni chaguo lako halisi?
3. Sababu gani zinakufanya uendelee kuishi na mkeo/mumeo hadi sasa Je (watoto, sababu ndoa ya kikristo haina talaka/wazazi watakulaani ukitengana nae/navumilia/bado nampenda/ tunaishi kwa mazoea?)
4. Sababu gani iliyokufanya uwe na uhusiano wa kingono nje ya ndoa?(kuchuja kwa mwenzako, tamaa ya mwili, marafiki wabaya, kasoro ya kimaumbile ya mwenzangu, tamaa ya mali/ kukosekana kwa maelewano ndani ya nyumba).


Majibu bila shaka unayo lakini tunaweza kukusaidia zaidi....

Teta nami
Brother Kalu
0655 440749
kalulunga2006@gmail.com 

WANAUME WENYE MSONGO WA MAWAZO HUPENDA WANAWAKE WANENE

Matajiri wengi hawaoi wanawake wanene

MWANAUME, WAOGOPE WANAWAKE WA NAMNA HII



WAPO wanawake ambao hawastahili kutongozwa au hawafai mwanaume kua na urafii nao hasa ule wa kimapenzi.

Uwezo wa kuwatambua wanawake wa namna hiyo, ndiyo utakutofautisha mwanaume kamili na wanaume washamba wanaoparamia mapenzi.

Wanawake ambao hawafai wana sifa hizi.
1. Watafutaji
Wapo wanawake ambao wanasema kabisa kuwa hawahitaji wanaume lakini ukweli moyoni mwake anataka kuwa na mwanaume. Ukimpata mwanamke wa namna hii kwa kumazimisha utakipata cha moto maana yeye mapenzi kwake amekuwa kama toashi.

2.Bikira.
Mwanamke mwenye bikra kwa wanaume wanaotaka ngono kabla ya ndoa siyo rahisi kumpata na hata ukimpata hautafurahia mambo fulani wasababu hajui mambo mengi ya kumsisimua mwanaume.

3.Asiyeridhika.
Kuna wanawake hata ukienda raundi za kutosha huwa hawafiki kileleni hivyo kwa wanaume wa mwendo mmoja tarajia nyimbo na lawama ama masimango hata ungemfanyia jambo lolote zuri.

4.Mchoyo.
Kufika kwake kileleni ni muhimu kuliko kufika wewe. Hii hutokea zaidi kwa wanawake warembo na wazuri na wanafanya hivyo na kukataa kuendelea na mchezo ambapo wanaume wengi kwa kubabaika kuachwa na wazuri wao hao wanawatii kwa kinyongo.

Akitaka yeye hata kama umechoka siku hiyo lazima anakulazimisha lakini yeye hata kama wewe umetingwa atakuambia hataki na amechoka, pia huuliza maswali na kujijibu mwenyewe...mfano''kwani wewe bado.....mimi tayari''

5.Jamvi la wageni na mchunaji
.......................................................................................