Sunday 3 March 2013

WAPENZI WASOMAJI WA BLOG HII TUNAWAKARIBISHA SAAAAANA

Blog hii inazungumzia masuala mbalimbali hasa ya ukatili wa kijinsia, Mapenzi na suala la ngono kwa ujumla.

Ikumbukwe kuwa Ngono si mapenzi bali ni tendo. Bila shaka umesikia mara nyini mtu/watu wakisema kuwa kuna watu wanajiuza... hao hawafanyi mapenzi bali wanafanya ngono..

Mambo mazuri yote hapahapa jamvini www.mapenzinangono.blogspot.com

1 comment: