Leo
tuongelee rangi za shanga, kwa wale wanaopenda kuvaa shanga najuwa wengi
mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa je ama
wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote na kwa wanaume
wanaopenda wanawake zao wavae shanga ni kusisimuana tu je mnafahamu
zinamaanisha nini haya sasa..
katika
swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata
mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka
kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina
maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.
rangi zenye maana kwenye sita kwa sita ni..
nyekundu,
ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba
mwanamke huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio
kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa
kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho kiafya akishauriwi).
nyeupe,
ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe hii humaanisha hana tatizo
lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu
muda wowote unapata.
nyeusi,
ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo
tayari kukupa raha za sita kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa
majani, kwahiyo chaguo ni lako kama unataka kutumia sikunzima kutafuta
goli haya, ama kama utamsaidia kumkatia majani uwanjani vizuri zaidi ama
kama huwezi yote basi mpe muda akate mwenyewe.
hizo ndio rangi muhimu za shanga kwa wale waliokuwa hawajui, kwa uliyenitumia email kuhusu mada hii natumaini umeielewa vizuri.
No comments:
Post a Comment