unaweza kuwa na hasira,,mawazo,,ama furaha na macho yako yakaonyesha ishara bila kificho lakini pia katika suala zima la mapenzi hisia huonekana machoni |
yapende macho yako wakati wote na pia tumia macho yako
kufahamu hisia za mapenzi ya mwenza wako