Sunday 10 March 2013

FAIDA NANE ZA KUFANYA NGONO

Brother Kalu na safu ya Hakunaga


Mpenzi msomaji wa safu hii, juma lililopita tuliona na kujifunza baadhi ya dalili za mpenzi asiye na penzi la dhatiu kwako, hii tunajikita kujua walau faida tisa za kufanya ngono.

Ngono au tendo la ndoa lina faida kubwa katika mwili wa binadamu ambazo ni zaidi ya kustarehesha ama kustareheshwa hasa linapofanywa na watu wazima na tendo hilo ukizidisha unaweza kupata madhara kiafya .

1.     Mzunguko wa Damu.
Tendo la ndoa huongeza kasi ya mzunguko wa damu mwilini kutokana na kuongezeka kwa mapigo ya moyo ambayo huboresha mzunguko huo wa damu pale unapopumua wakati wa kufanya tendo hilo.

2.     Mazoezi ya mwili.
Watu wengi hawafanyi mazoezi lakini kufanya ngono ni moja ya mazoezi ya mwili ambapo unatakiwa kwa wiki moja asizidishe kufanya ngono mara tatu jambo ambalo litakusaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini pia ukifanya hivyo kwa kipindi cha mwaka mmoja ni sawa na kukimbia maili 75 na tendo hilo huongeza karibia vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 uwanjani.

3.     Maumivu
Unapofanya mapenzi homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo hupelekea kuzalishwa kwa homoni iitwayo endorphin ambazo huwezesha kupunguza maumivu mwilini ikiwemo uvimbe, maumivu ya shingo na kichwa ambapo ukiona vitu hivyo vinakusumbua fanya mapenzi.

4.     Mafuta yenye kileo
Huweka uwiano wa mafuta yenye kileo (Cholesterol) nzuri na mbaya na hupunguza kwa uwiano sawa kiasi cha mafuta mwilini.

5.     Huondoa Maji yenye madhara
Tendo la ndoa la mpangilio huondoa uzalishaji wa majimaji yanayozalishwa kwenye prostate ambayo huwa na madhara kwa binadamu.

6.     Usingizi mnono
Hakuna ubishi kwa yeyote aliyewahi kufanya ngono kuwa aliwahi kupata usingizi mnono isivyo kawaida hasa baada ya shughuli ambayo hata mnyama Simba angeingia mahala hapo pa faragha hakuna hata mmoja ambaye angeweza kuacha tendo hilo na kumkimbia Simba.

Kufanya mapenzi na kuupumzisha mwili kabla ya kuanza tena tendo hilo hasa kwa wanaume ni jambo muhimu ambapo utaupa mwili auheni ya kutuliza akili na kurekebisha mzunguko  wa damu mwilini ambapo baadaye ukitaka kulala utalala swadakta…….

7.     Kudumisha ujana
Homoni iitwayo DHEA huzalishwa mwilini ambayo husaidia msisimko kuongezeka ambapo mwanadamu anayefanya mapenzi huongezewa ufahamu, kuimarisha mifupa, mishipa ya moyo na hata kuzuia wapinzani wa kazi za mishipa ya fahamu na hupunguza baridi na mafua na watu wanaofanya mapenzi huelezwa kuwa mara kadhaa huonekana vijana hata kama umri utakuwa umekimbia.

8.     Homoni za kiume na za kike kuongezeka
Uzalishaji wa homoni za kike na kume huongezeka mara dufu ambapo kwa mwanaume humsaidia kuimarika kwa homoni ya kiume ambayo husaidia kuimarisha mifupa na miduli na kwa mwanamke tendo al ndoa humwongezea honi ambayo inatunza tissue za sehemu ya uke na humsaidia kupokea mapenzi na kuwajibika awapo mahala husika na mwenzi wake.

Mpenzi msomaji wangu bila shaka umeanza kupagawa baada ya kuona walau faida chache za kufanya mapenzi, sasa wiki lijalo tutaangalia dalili za mwanamke anapotaka ngono.

Teta nami kupitia
0655440749
Brother Kalu na safu ya Hakunaga

Tabia Nne za Mpenzi asiyekuwa na penzi la kweli

WIKI iliyopita tuliona baadhi ya dalili ambazo zinaweza kukupa mwelekeo wa kujua kama mpenzi huyo ameumbwa kwa ajili yako, ama la, lakini wiki hii tunaangazia na kuzijua walau dalili Nne za Mpenzi ambaye hana mapenzi ya dhati nawe.

Ifahamike kuwa hakuna asiyehitaji mapenzi ya kweli ingawa kuna wapenzi wanaothamini penzi wmenzi wake anapokuwa na pesa au kazi Fulani na baada ya hapo hujitoa katika mahusiano hayo hali ambayo huleta kwikwi katika mtima wa moyo wa anayefahamu kupenda.

1.      Muongo

Hakuna asiyefahamu athari za mtu muongo katika jamii, vivyo hivyo ndivyo ilivyo katika mapenzi uongo ni sumu mbaya na nidalili moja wapo ya kuonyesha kuwa mpenzi wako hana penzi la dhati nawe na huyo aweza kukuletea athari za kufikiri hapo baadae endapo hautakuwa makini nae. 


Hivi karibuni nilikuwa mjini Mbeya nikipata chakula katika moja ya mgahawa uliopo mkabala na Posta, katika mgahawa huo nilikutana na vijana wawili na msichana mmoja wakiwa wanakula chakula ambapo kati ya kijana mmoja alionekana kuwa ni mpenzi mpya wa yule binti ambaye alisikika akisema kiwa ‘’ukija kwangu atakalia sofa ambazo hujawahi kuziona maishani’’ hali iliyonishtua na kuelewa mara moja kati ya tabia alizonazo kijana yule ambaye anaonekana ni mcha Mungu.

Hivi utajisikiaje Mpenzi wako akigundua kuwa ulikuwa ukimdanganya na hatimaye yeye akajua ukweli wa suala ulilokuwa ukimpiga fiksi? Lakini ushauri wangu si kumacha bali jaribu kumshauri kwa hekima na akiendelea na tabia hiyo ujue kuwa hana mapenzi ya kweli kwako.

2.     Kupenda pesa
Ukiona mpenzi wako wa kike ama kiume anapenda sana kupata pesa kutoka kwako tambua ni moja ya dalili ambazo zinajieleza kuwa hana mpango nawe bali analazimika kuwa nawe kutokana na pesa ama kipato chako. Mpenzi wa namna hiyo ili kujihakikishia dalili hii siku moja akikuomba pesa hata kama ameziona mwambie kuwa huna, hapo yupo tayari kuvunja hata mahusiano kwasababu kitu muhimu kwake hajapata na wala wewe si muhimu tena kwake.

Nieleweke kuwa sisemi pesa ni mbaya katika mapenzi, la hasha bali pesa na mapenzi ni sawa na trafiki na kondakta katika mambo Fulani yale………ya kuchafua mifuko kwenye nguo nyeupe……………na ni muhimu wapenzi mkapenda kupeana maarifa ya kufanya kazi halali ili kujipatia vipato kwa ajili ya kuepukana na hili.

3.     Hajali kutokuwa jirani na wewe.
Mpenzi anaye kupenda muda mwingi hutamani kuwa nawe karibu na inapotokea hamjaonana hata masaa sita au matatu hujisikia shida ambapo kwa wengine hufikia kupiga simu na ukimuuliza anasemaje atakuuliza maswali yaliyoshonana kama ushanga mara upo wapi? Umekula? Na upo na nani? Na maswali mengi ya namna hiyo ili mradi moyo wake utulie.

Endapo Mpenzi wako mkiwa mbali naye kwa muda wa masaa mengi na yeye akaonyesha kuwa hakukosa chochote kutokuwa nawe karibu ama kuwasiliana nawe basi ujue kuwa mpenzi huyo ni kimeo yaani hana mapenzi ya dhati kwako.

4.     Anapenda kukuudhi
Dalili ya Nne ya mpenzi asiyekuwa na mapenzi ya dhati nawe ni yule anayependa kukuudhi mara kwa mara kana kwamba anatafuta sababu ya kuachana nawe lakini anashindwa kutamka bayana kuwa haitaji tena kuwa nawe.

Maudhi hayana budi kutokea pale inapobidi kwa bahati mbaya sana na si kwa makusudi, lakini wapo wapenzi wanaowaudhi wenzao kwa makusudi huku wakiendelea kusisitiza maudhi hayo kama utani na kujua kwa makusudi kuwa anamuumiza mwenzi wake bila kuomba msamaha. Ingawa kuomba msamaha ni kipaji na hasa katika mfumo dume ambao unaonesha kuwa mwanaume anapoomba msamaha basi ujue katumia njia nyingi za kumaliza tatizo hilo zimeshindikana hivyo kaomba msamaha kwa kulazimika sana na kwa siri.

Mpenzi msomaji wa safu hii, baada ya kuona dalili hizo za mpenzi asiyemwaminifu kwako, je wajua kuwa tendo la ndoa lina faida kubwa katika afya yako? wiki ijayo jiandae kujua faida nane za kufanya ngono kiafya.

Teta nami kupitia

0655440749 

Friday 8 March 2013

JE MWANAMKE UNATAKA KUWA SUMAKU KWA MWANAUME?


MPENZI msomaji wa safu hii ya Hakunaga kutokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo sikuweza kukuletea mfululizo wa safu hii pendwa lakini hakijaharibika kitu hebu tuendelee kuzungumza lugha zetu za kimahaba na kimahusiano yanayojenga.
Wiki hii kama nilivyowaahidi awali kuwa tutaona njia kadhaa wanazoweza kuzitumia wanawake kuwa sumaku kwa wanaume wao.
Nimekuwa nikipa simu nyingi kutoka kwa akina dada ambao wamejaribu kuonesha hisia zao wazo kuwa licha ya kuumbika vizuri lakini hawajabahatika kuwa na wapenzi huku wengine wakisema kuwa hata kama wametongozwa lakini hawadumu katika mahusiano jambo ambalo nimeona leo nilitolee ufafanuzi na kukufundisheni.
1.    Mwanamke jipende mwenyewe
Mwanamke ni lazima ujipende na kujiamini na ukigundua kuwa hisia zako zaapenzi zimejikita kwa huyo mwanaume ambaye hisia zako zinaamini kuwa ni yule ambaye umewahi kumuwaza kuwa ungependa kuwa nae basi usieleze kwanza uongo maana akija gundua weeeeee……noma.
Hapa niweke wazi kuwa ni muhimu mwanamke au mwanaume, kwa pamoja tujue kuwa tofauti yetu na mbuzi siyo miguu au manyoya bali kitu kingine kikubwa zaidi. Kitu hikikikubwa ndicho sisi – sisi ni jinsi tunavyofikiri ambapo kwa kufikiri kwetu tunakuwa kama tulivyo ambao ndiyo sisi wenyewe.
2.    Jifunze namna ya kuzuga
Sisemi jifunze namna ya kudanganya bali ‘’kuzuga’’ naamini naeleweka vema ambapo wanawake wengi wenye kujua kuzuga wamekwa sumaku kubwa kwa wapenzi wao ama kwa wabnaume wanaowahitaji.
Wanawake wenye ujuzi wa kuzuga wamekuwa wakifanikiwa kuwanasa wanaume wengi kutokana na ujuzi wa kutumia viungo vyao walivyop[ewa na Mungu huku baadhi wakitumia macho yao kwa kuangaliana mara kwa mara na wanaume wanaovutiwa huku baadhi wakitumia midomo yao kuilamba kana kwamba anasawazisha mafuta katika midomo hiyo.
Mbinu hii inawapagawisha wanaume wengi ambao hujikuta akikuuluza jina ama moja kwa moja akakusogelea na kukusabahi na kujitambulisha ama kuomba namba yako ya simu, si unajua utandawazi umewapotezea wanaume wengi ujasiri wa kutongoza zaidi atakupigia simu, si mnajua wengi tunatongozana kupitia simu…si vibaya ingawa hamu inapotea kidogo.
3.    Panga ratiba ya kutoka, ‘’siyo kusaka mabuzi’’
Wanawake wengine wamekuwa wakilaumu kuwa hawatongozwi na wanashindwa kuwadaka wanaume wanaowataka kimapenzi huku wao wenyewe wakiwa tatizo. Wengi hushinda nyumbani kama watoto wa Mfalme jambo ambalo wengine wamejikuta wakizeeka na kuanza kukumbuka hata kwa kulazimisha kuwa walau nwapate watoto.
Hali hii mwanamke utaiepuka endapo utakuwa na walau na ratiba zako nzuri hata kama haupendi kwenda Disko au ni geti kali basi hata week end uwe na ratiba ya kutembea ufukweni au mahala ambako unajua kuna watu wanajichanganya kidogo majira ya jioni na ahapa sizungumzii kuwa unaenda kutafuta soko bali kama unajiamini kuwa unamvuto naamini uchaguzi wako utakuwa mgumu kwasababau wengi watatamani kuwa nawe, si unaushawishi banaaaa…
4.    Kosoa kwa hekima
Mbinu hii itawasaidia sana wanawake ambao wapo tayari kwenye ndoa na mahusiano ya kawaida ambapo kuna mahala wanawake wanajisahau na kuwatamkia wanaume wao maneno yasiyo na hekima, kwa mfano utamsikia mwanamke anamwambia mwanaume wake kuwa ‘’wanaume wenzako wanajenga, wewe kila siku ahadi tu’’ kauli kama hii ni kosa na kasoro kubwa.
Ukiachiliambali kwamba hiyo ni lawama, lakini kauli kama hiyo inajenga hisia kwa mwenzako kuwa mwanamke huyu kumbe anapenda kuwa na wanaume kama hao hivyo wanaume wengi hawapendi kushauriwa bila hekima na kudhani kuwa wanawake hao wanaodhani wanaume wao hao siyo wa maana hivyo mwanamke ukitumia maneno yasiyo na hekima huwezi kuwa sumaku kwa mwanamume wako.
Kwa leo tuishie hapa wiki ijayo na kuendelea nitakuletea mfululizo wa tofauti zetu yaani mwanamke na mwanaume na ujua kuwa kutentewa vizuri na mpenzi wako ni haki yako au la na hapo tutaelezana madogomadogo yafukuzayo wapenzi.
Tukutane wiki ijayo, kwasababu hakukana mada kama hii. 0655 440749

Tuesday 5 March 2013

SEHEMU GANI MWANAMKE AKIGUSWA HUSISIMUKA NA KUTAMANI KUTOMBWA ZAIDI NA ZAIDI?


MADEMU WENGI JAPO SIO WOTE HUPANDWA NA WAZIMU WAKICHEZEWA DODO ZAO HAPO KIFUANI UZURI.

DODO ZA MWANAMKE MARA NYINGI HUSISIMKA ILE MBAYA IKIWA ZITATOMASWA VIZURI NA KWA UPENDO KWA KUTUMIA MIKONO,LIPS ZA MDOMO NA ULIMI KUPEKECHA KUPEKECHA NCHA ZA CHUCHU NA KUZIMUNG'UNYA KWA MFANO WA MTU ANAYEMUNG'UNYA PIPI HIVI NA WAZIMU UKIANZA KUPANDA NCHA ZA CHUCHU ZINA TABIA YA KUDINDA NA KUWA NGUMU NA KUFANYA MATITI YAWE KAMA YAMESIMAMA KAMA YA MTOTO MWENYE BIKIRA YAKE,HALI HIYO YA MATITI KUSIMAMA NA KUCHOMOZA HUJITOKEZ KWENYE K 

AMBAPO MASHAVU YA K HUPANUKA NA KUTENGENEZA MSISIMKO WA AJABU HUKU KISIMI KIKISIMAMA NA KUMWAGA UTE FLANI LAINI AMBAO KAZI YAKE NI KUITELEZESHA MBOO WAKATI INATUMBUKIA KWENYE IKO KISHIMO CHA K.

JINSI JAMAA ANAVYOKUTOMASA MPAKA UNATOA HUO UTE NILIOUSEMEMA UKITOKWA NA HUO UTE MWANAMKE UNAKUA KATIKA HALI MBAYA SANA,UNAKUA KATIKATI YA KIFO NA UHAI KIASI KWAMBA UKITIWA KIDOLE TU THEN KIKATELEZESHWA NA HUO UTE UTASIKIA RAHA SANA MPAKA MATE YAKUJAE MDOMONI JAPO KUKOJOA INAKUA BADO

SASA MTU WA AINA YAKO ILI UKOJOZWE,KWANZA LAZIMA UR MAN AJUE AJUE G SPOT YAKO ILIPO THEN ACHEZE NAYO HIYO KWA KUIMASSAGE KWA VIDOLE VYAKE VIWILI AT THE SAME TIME AWE ANACHEZA NA KISIMI CHAKO KWA KUKITEKENYA AWE KAMA ANAICHORA NAMBA 8 KWA ULIMI KUKIZUNGUKA KISIMI KWA KUICHORA NAMBA NANE MARA KADHAA.



G SPOT IPO KAMA SENTIMITA 5 HIVI NDANI YA KUMA UKIINGIZA KIDOLE UTAIGUSA,IPO SEHEMU YA JUU YA K,HATA SIJUI KWANINI WANAUME WENGINE HAWAJUI ILIPO,OK ANYWAYZ MLETA MADA USIONE HAYA SEMA NAE JAMAA YAKE MUELEKEZE G SPOT ILIPO MWAMBIE AITEKENYE HIVI,MWAMBIE AKUINGIZE TARATIBU NA KWA UPENDO,VIDOLE VYALE VIWILI NDANI YA K,THEN AWE KAMA ANAIBONYEZA NA KUISUGUA SEHEMU YA NDANI YA K HIYO NILIYOSEMA IKO KAMA SENTIMITA 5 NDANI YA K,SEHEMU AMABAYO UKIIGUSA UTAFEEL KAMA SPONJI HIVI,JAMAA VILE VIDOLE HUKO NDANI ANAKUA ANAVITUMIA KUIBONYEZA KWA STYLE YA KUITEKENYA G SPOT ANAKUA ANAFANYA KAMA VILE MTU ANAEMFANYIA MTU MUNGINE ISHARA YA KUMWITA NJOO HAPA KWA MKONO KITENDO KITAKACHOKUA KIKIKUTEKENYA MPAKA UNAJISIKIA KAMA MKOJO KAMA MKOJO UNATAKA KUKUTOKA LAKINI HAUTOKI BASI MBWEMBWE TU ZA KUKUPA WEWE RAHA UIONE DUNIA YOTE HII NI YA KWAKO WEWE NA HUYO ANAEKUFANYA BAADA YA HAPO SASA INGEKUA JAMAA YAKO NI MGANDA,MTU WA BUKOBA AMA MNYARWANDA WANAO UTARATIBU WAO KATIKA MAINGILIANO YA KIMWILI BAINA YA WAWILI WANAOPENDANA,AMBAPO HUUCHUKUA UUME ULIOSIMAMA VIZURI NA KUANZA KUKIPIGA PIGA KISIMI NA KUKISUGUA KWA KICHWA CHA MBOO HALI HIYO AKIIFANYA VIZURI ITAKUFANYA SIO TU KUKOJOA KAWAIDA BALI UMWAGE MAJI MENGI SANA(SQUIRTING)AU KAMA HII YA KUKIPIGA PIGA KISIMI NA KUKISUGUA KWA KICHWA CHA MBOO ITAKUA NGUMU BASI JAMAA UNAWEZA KUMWAMBIA AWE ANAKICHOVYA KICHWA CHA MBOO KWENYE KUTA ZA K HUKU AKIKITUMBIKIZA MPAKA USAWA WA KICHWA TU NA KUKICHOMOA HAPO AKIFANYA MARA MBILI TATU TU KAMCHEZO AKO ATAKOJOA KWA FUJO SANA NA KUKAMUA MPAKA TONE LA MWISHO.


MUHIMU TU UZINGATIE UNYWAJI WA MAJI UKIKUTANA NA WA HIVI MPAKA UNAWEZA KUPATA UPUNGUFU WA MAJI MWILINI THE WAY UTAKAVYOKUWA UNAMWAGA MAJI MENGI KILA MNAPOKUTANA.

JE WAJUA STAILI ZA KUTOMBANA...ONA HAPA CHACHE

THIS IS IT WHAT CAN YOU CALL IT



kumridhisha mpenzi sio kazi ni ujuzi wako tu uliotulia mweke juu mwache atumie vizuri mda kwa kucheza na mboo

AKINADADA KISIMI KINASIRI KUBWA MPE BWANA NAFASI AKINYONYE MARA KWA MARA

KILA STYLE INA UJUZI WAKE BWANA KUMA MNATO AKINADADA JUENI KUTUMIA STYLE KUMDATISHA MZEE NYUMBANI

KUNA STYLE MBALI MBALI ZA KUTOMBANA AMBAZO ZITAMFANYA DEMU WAKO ADATE NAYE MWANAMKE ASIKIE RAHA

Sunday 3 March 2013

LOVE IS LIKE A RUBBER BAND....


WAPENZI WASOMAJI WA BLOG HII TUNAWAKARIBISHA SAAAAANA

Blog hii inazungumzia masuala mbalimbali hasa ya ukatili wa kijinsia, Mapenzi na suala la ngono kwa ujumla.

Ikumbukwe kuwa Ngono si mapenzi bali ni tendo. Bila shaka umesikia mara nyini mtu/watu wakisema kuwa kuna watu wanajiuza... hao hawafanyi mapenzi bali wanafanya ngono..

Mambo mazuri yote hapahapa jamvini www.mapenzinangono.blogspot.com